Magufuli ampa milioni 15 mwigizaji filamu nchini....soma habari kamili na matukio360...#share
Katibu wa rais John Magufuli, Ngusa
Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji
Wastara kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli
kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua mwigizaji huyo.


No comments:
Post a Comment