Magufuli ateta na mjumbe maalum kutoka Rwanda...soma habari kamili na matukio360...#share
Rais John Magufuli akiongea na Dkt
Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto
kwa Rais), katika mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James na Katibu Mkuu
Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam
leo Alhamisi Januari 25, 2018
Rais John
Magufuli katika picha ya pamoja na Dk. Donald Kaberula, Mjumbe Maalum kutoka
kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame na ujumbe wake pamoja na na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda
na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Januari 25, 2018
Rais John
Magufuli akiagana na Dk. Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa
Rwanda Mhe. Paul Kagame, huku Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018
Rais John
Magufuli akimlaki Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini Edzai A.C.
Chimonyo aliyefika kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Januari 25, 2018
Rais John
Pombe Magufuli akiongea na Balozi wa Zimbabwe aliyemaliza muda wake nchini
Edzai A.C. Chimonyo aliyefika kumuaga rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi Januari 25, 2018
No comments:
Post a Comment