Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza leo Djibout....soma habari kamili na matukio360...#share
Na mwandishi wetu.
KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Pierre Lechantre ametangaza kikosi kinachoikabili Gendarmerie Tnale ya Djibout jioni hii katika michuano ya shirikisho barani Afrika mchezo wa marudiano.

KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Pierre Lechantre ametangaza kikosi kinachoikabili Gendarmerie Tnale ya Djibout jioni hii katika michuano ya shirikisho barani Afrika mchezo wa marudiano.

Itakumbukwa kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Simba ilishinda goli 4-0, magoli hayo yalifungwa na John Bocco aliyefunga magoli mawili, Said Ndemla moja na Emmanuel Okwi moja.
Katika mchezo huu Simba inahitaji sare au ushindi wa aina yoyote ili kusonga mbele katika hatua inayofuata.
Kikosi cha timu ya Simba

No comments:
Post a Comment