Magufuli ateuwa mwanasheria mkuu mpya...soma habari kamili na matukio360.....#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

RAIS John Magufuli amemteua Dk Adelardus kilangi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG).

Kabla ya uteuzi huo,Dk Adelardus alikuwa Mkurugenzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Arusha.




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search