KLABU ya Singida United imemsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji wake wa kimataifa raia wa Jumhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC), Kambale Salutations Gentile kutoka na utovu wa nidhamu.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment