Lowassa atoa msimamo wake kuhusu maandamano.... soma habari kamili na matukio360....#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam
WAZIRI mkuu mstaafu, Edward Lowassa ametoa msimamo wake kuhusu maandamano yanayodaiwa kufanyika Aprili 26, 2018 siku ambayo ni sikukuu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Amepinga maandamano hayo akisema hayana tija na yanahatarisha uvunjifu wa amani ya nchi.
Edward Lowassa
Mapema hii leo Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema katika ukurasa wake wa Facebook ameandika;

No comments:
Post a Comment