SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KUONDOLEWA KWA #AWA DABO WA #UNDP


Taarifa iliyotolewa leo April 25 2017 na kitengo cha mawasiliano kwa umma, Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa imesema Serikali imimefikia uamuzi wa kuagiza  Shirika la umoja wa mataifa la Programu ya Maendeleo ‘UNDP’ kumuondoa nchini mkurugenzi wa shirika hilo Awa Dabo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya watumishi na menejimenti ya shirika hilo.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa kutoelewana kwa mkurugenzi huyo na baadhi ya watendaji kungepelekea kuzorotesha utendaji wa shirika hilo nchini na kupunguza kasi ya kuleta maendeleo kwa Watanzania endapo hatua za haraka zisingechukuliwa.
Nimekuekea taarifa kamili hapa chini:

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search