Mikakati: Watendaji wakuu wa Wizara ya mambo ya Ndani wakikamilisha maandlizi ya mwisho ya uwasilishaji wa Bajeti yao inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni mjini Dodoma kesho.
Waziri wa Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi,Mh. MwiguluLameck Nchemba wa pili kushoto akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha cha maandalizi ya mwisho cha kupitia Bajeti ya Taasisi ziliko katika Wizara yake,kabla ya kuiwasilisha Bajeti ya Wizara yake katika Vikao vya Bunge la Bajeti la JamhuriyaMuungano wa Tanzania siku ya Jumanne. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Hamadi Masauni na wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, Kikao hicho kimefanyikal eo katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara mjini Dodoma.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu aliyenyanyua mkono akitoa ufafanuzi wa jambo fulani kuhusu bajeti ya Jeshi la Polisi nchini mbele ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Lameck Nchemba wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Taasisi ziliko katika Wizara hiyo,ikiwa ni maandalizi ya mwisho kabla ya Bajeti ya Wizara hiyo kuwasilishwa kwenye Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,siku ya jumanne.Kikao hicho kilichowashirikisha Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo na Maafisa Mipango wa Wizara kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo mjini Dodoma.

Waziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,MwiguluLameckNchembaakipokeataarifambalimbalizilizotolewanawatendajiwakuuwaWizarayakewakatiwaKikao cha MaandaliziyamwishoyakupitiayaBajetiyaTaasisizilikokatikaWizarayake,kablayakusomwakwaBajetiyaWizarayakekatikaVikaovyaBunge la Bajeti la JamhuriyaMuunganowa TanzaniasikuyaJumanne.KushotokwakeniNaibu Waziri waWizarahiyoMhandisiHamadiMasauni, KikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwaMikutanowawizaramjiniDodoma.

KamishnaJeneraliwaJeshi la Magerezanchini, Dr. JumaMalewawa pili kuliaakitoaufafanuzimbeleyaWaziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,MwiguluLameckNchembawakatiwaKikao cha MapitioyaBajetiyaTaasisizilikokatikaWizarahiyo,ikiwanimaandaliziyamwishokablayaBajetiyaWizarahiyokuwasilishwakwenyeVikaovyaBunge la Bajeti la JamhuriyaMuunganowaTanzania,sikuyaJumanne.KikaohichokilichowashirikishaWatendajiWakuuwaWizarahiyonaMaafisaMipangowaWizarakimefanyikaleokatikaukumbiwaMikutanowaWizarahiyomjini Dodoma.

Waziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,Mh. MwiguluLameckNchembawa pili kushotoakifafanuajambokwaWatendajiWakuuwaWizarayakewakatiwaKikao chamaandaliziyamwisho cha kupitiaBajetiyaWizarayake,kablayakuiwasilishaBajetiyaWizarahiyokatikaVikaovyaBunge la Bajetila JamhuriyaMuunganowa Tanzania sikuyaJumanneijayo. Wenginewanaomsikilizawa kwanza kushotokwakeniMkurugenziwa Sera naMipangowaWizara, WanjaMtawazo, anayemfuatianiKamishnawaUtawalanaFedhawaJeshi la Polisinchini Albert Nyamhanga.KikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwaMikutanowaWizaramjini Dodoma.

KamishnaJeneraliwaJeshi la ZimamotonaUokoajinchini, ThobiasAndengenyewatatukuliaakitoaufafanuzikuhusuJeshi lake mbeleyaWaziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,MwiguluLameckNchembawakatiwaKikao cha maandaliziyamwishoyakupitiayaBajetiyaTaasisizilikokatikaWizarahiyo,kablayaBajetiyaWizarahiyokusomwakwenyeVikaovyaBunge la Bajeti la JamhuriyaMuunganowaTanzania,sikuyaJumanne.KikaohichokilichowashirikishaWatendajiWakuuwaWizarahiyonaMaafisaMipangowaWizarakimefanyikaleokatikaukumbiwaMikutanowaWizarahiyomjini Dodoma.

KatibuMkuuwaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchiMejaJeneraliProjestRwegasirawa kwanza kuliaakimsikilizakwamakiniWaziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,Mh. MwiguluLameckNchembawa pili kuliaalipokuwaakifafanuajambokwaWatendajiWakuuwaWizarayakewakatiwaKikao chamaandaliziyamwisho cha kupitiaBajetiyaWizarayake, kablayakuiwasilishaBajetiyaWizarahiyokatikaVikaovyaBunge la Bajetila JamhuriyaMuunganowa Tanzania sikuyaJumanne. KikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwaMikutanowaWizaramjini Dodoma (PICHA ZOTE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YANCHI)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment