AJIRA FAIR.. Mama Samia Azindua Tamasha la Fursa za Ajira #share kwa China na Tz

Ndugu msomaji wa Matukio, leo Makamu wetu wa Rais Mama yetu mpendwa kabisa mama Samia Hassan Suluhu alipata fursa ya kusikiliza nyimbo mbili za Taifa za Tanzania na Uchina alipoalikwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa fursa mbali mbali za kiuchumi na Ajira baina ya nchi zetu mbili.. 

Hili ni tukio la pili la uzinduzi lililopewa jina la Kihistoria la Kichina yaani "Noble Center" na ku'hostiwa na CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

Usipitwe kama ulipitwa na tukio hili muhimu kabisa.. bofya play twende sawa..
 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search