Video: 'Rama mla vichwa vya watu' "aibuka upyaa" #share
'Rama mla vichwa vya watu' "aibuka upyaa" aanza kufunguka mwanzo mwicho kilichotokea.. ni story ya kutisha bila shaka hasa kwa tuliopata kushudia mtiriko ule..
Leo hii wazee wa kuibua 'mambo' wa Global wamemuita mezani Ramadhani Musa aliejulikana kama (Rama mla vichwa vya watu) na kwa sasa ameshakuwa mkaka mkubwa.. aelezee ni nini hasa kilichojiri na hisia zake juu ya tukio lile kwa sasa !
Na jee jamii inamchukuliajee !!?
Ungana nasi..

No comments:
Post a Comment