Magazetini Leo 18/06/2017: Suluhu ya Makinikia kuleta vigogo mezani.. majina ya Lissu, Zitto Kabwe yachomoza.. #share pia kuna jina la 'kigogo' wa Rais Trump..
Tanesco 'kukatiwa Umeme', yadaiwa Billion 53 Gesi.. Sumaye,Warioba wajitosa vita ya Makinikia,.. Serikali yaambiwa ikune kichwa timu ya 'mpambano' na Barrick.. Majeruhi wa Lucky Vicent sasa kurejea nchini, Mangula wa CCM asema 'panga la mwaka' laja.. na wadau wahoji 'vifungu' vya Mwakyembe kulifungia Mawio..

























No comments:
Post a Comment