Picha 15 Exclusive: Staa Wine Rooney na mkewe walivyonogesha harusi ya Staa Mwenzake Phil Jones aliefunga ndoa usiku huu!!

Ndugu mpendwa msomaji, ni kawaida ya Matukio blog kukuletea habari mpya mpya na moto moto kadri zinavyotufikia.. Jioni ya leo tulikuwa 'mashahidi' kuona wa tukio muhimu la mchezaji nyuta wa Manchester United Phil Jones alefunga ndoa na mchumba wake wa miaka mingi Kaya.. 

Nimekukusanyia Picha 15 Exclusive za tukio zima ambalo lilinogeshwa na Staa Wine Rooney na mke Coleen!! kaa nasi karibu upate mengi mapyaaa!

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

1 comment

  1. Mimi hapo nimependa gari lao tuu si viatu, si mavazi.. Angekuwa mbongo hapo angekodi Royce rose yaani!!

    ReplyDelete

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search