Big News: JPM azindua maboresho ya Bandari.. World Bank yatoa Dola 345 Million.. Uchaguzi TFF wapigwa stop.. #share.. Barnabas Mwakalukwa kuwa Msemaji wa Jeshi la Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amezindua mradi mkubwa wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam utakaoendesha kwa ufadhili wa Benk ya Dunia na Serikali ya Tanzania. 

Matukio blog imekuletea matukio muhimu wakati Rais akiwasili Bandarini hapo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi wa maboresho hayo... pamoja na matukio mengine makubwa yanayojiri mchana huu.

 fuatana na uzi huu.

[7/2, 12:12] Peter Elias-MCL: Niwaombe wanasiasa wajifunze kuchunga midomo yao. Unakuta kiongozi anasema waondolewe rockup,  hajui kuna wengine walikaa Guantanamo Bay kwa miaka na miaka. #RaisMagufuli
[7/2, 12:13] Peter Elias-MCL: Unaweza ukaona huyo naye anahusika kwa namna au nyingine. Wajifunze kufunga midomo yao wakati serikali inafanya kazi yake. #RaisMagufuli
[7/2, 12:15] Peter Elias-MCL: Nataka polisi mfanye kazi kazi yenu. Hawa wanaoropoka ovyo waisaidie polisi kufanya uchunguzi #RaisMagufuli
[7/2, 12:22] Peter Elias-MCL: Kuna kampuni moja inakwepa kodi, ilitangaza kujifuta ikaanzisha kampuni nyingine. Walikuwa wanasema mizigo yao ni transit ili wakwepe kodi #RaisMagufuli
[7/2, 12:26] Peter Elias-MCL: Kuna vichwa 15 vya treni vilishushwa hapa lakini havina mwenyewe. Inawezekana vipi vichwa vya treni vinafika hapa bandarini, vinashushwa lakini mwenyewe hajulikani! Ni kwa sababu hakuna coordination, huo ni mchezo mchafu. Vyombo vya dola vianze kuwachunguza hao.









 VIDEO: Ujenzi unaendelea TAZARA Dar es salaam kujenga barabara za juu, hii video ni ya leo July 2 2017. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/a7BvpavQj1
— millard ayo (@millardayo) July 2, 2017









About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search