Picha 6 za Staa mwengine wa Soka la uingereza alietangaza ndoa siku ya jana ..#share
Mshambuliaji huyo aliibuka mfungaji bora msimu ulioisha wa Ligi Kuu England akifikisha mbao 29, huku klabu yake ikimaliza nafasi ya pili.
Kane ametangaza uchumba kwa kimwana Kate Goodland ambaye amemzalia mmoja na sasa amesema atafunga naye ndoa mipango ya harusi ikikamilika.
Tukio hilo la kumvalisha Kate pete ya uchumba lilifanyika ufukweni wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment