Burudani: Madam Wema akerwa na 'Nongwa Mitandaoni..' #share.. afunguka.."Vaa vaa yangu haibadili Uislamu wangu.. kaeni chonjo na mimi.."
katika hali isiyotegemewa; Bongo actress Wema Sepetu; almaarufu kama 'Madam Sepenga..' ameamua kuwa 'mbogo' kwenye mtandao wa Instagram kwa watu wanaofuatilia maisha yake.
Kupitia mtandao huo, Wema ameandika: "Naomba nitoe tamko… Nakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslim… Maana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!!

Wote tunamwamini Mungu… So if u cant accept it, Deal with it…! Kupangiwa maisha mnanijua SIPENDI…."
Kupitia mtandao huo, Wema ameandika: "Naomba nitoe tamko… Nakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslim… Maana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!!
AWALI Mtandao mmoja maarufu kwa masupa staa na 'mamodo wa Bongo..' uliripoti taarifa za ndani za ilichokisema uja-uzito wa mwanadada huyo ambae alipata umaarufu mkubwa kupitia tasnia ya Bongo Movie !!
Kwa mujibu wa mtandao huo wa Tanzania One, Wema amekuwa kwenye kilio cha muda mrefu kutafuta mtoto, ambapo amewahi kubeba ujauzito wa mapacha wawili lakini haukuweza kudumu baada ya kutoka.
Pamoja na maswali mengi ya mashabiki wake, Wema hakuweza kujibu chochote kuhusu madai hayo na kuwafanya wale wote wanaomuunga mkono, yaani ‘Team Wema’ kuendelea wakizituma picha hizo kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Chanzo hasa cha Uvumi huo ambao umeenea sana mitandaoni, inasemekana ni baada ya kuzagaa picha za mrembo huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006 kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment