Magazetini Leo 2/07/2017: JPM aiweka 'tumbo joto' Bodi TANTRADE.. atibua '77 International Hotel'.. Mahabusu 'yawa chungu kwa vigogo hawa 29',.. #share.. Mo Dewji apewa 'mikoba' Simba..

Sumaye asema CCM waliobeba ESCROW na IPTL; Waziri Mkuu Majaliwa atangaza 'kiama' Vyama vya Ushirika.. na Vuta nikuvute ya Wadau Sheria ya Madini, Profesa Kabudi aanika msimamo mgumu.. 'Bomu' laua Geita..




























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search