Magazetini Leo 3/07/2017: JPM 'amuweka mtegoni Lowasa'.. ataka Polisi wafanye yao.. akumbushia ya 'Guantanamo'.. #share.. Ufisadi Mpya 'watikisa' Bandari.. Vichwa 15 vya treni havina mwenyewe..

Sumaye aibukia Katiba Mpya.. asema Wanasiasa wanaiogopa.. Vigogo wa ESCROW kizimbani tena leo.. Wanasheria waonya 'Mswada mpya' Rasilimali za Madini.. Tiba ya Kihistoria Muhimbili; Watoto 20 wapandikizwa Masikio..






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search