Taarifa kamili kutoka Ikulu Jijini Dar Es Salaam; JPM awashukuru Wadau wa Maendeleo na wafadhili.. #share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumapili 2/07/2017 amezindua mradi mkubwa wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam utakaoendeshwa Na Serikali kwa kuisaidiana wadau mbalimbali pamoja ufadhili wa Benk ya Dunia (WB)
Nimekuwekea Taarifa kamili kama tulivyoipokea kutoka Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search