Magazeti ya Leo 02/08/2017: Mambo haya manane (8) ndio Agenda Kuu Timu ya Makinikia,.. Chadema kwavurugika,.. Ewura yashusha pumzi wenye magari.. na Madam Wema Sepetu 'bado yumo' kesi ya madawa...
Makombora ya Chadema yaiamsha Serikali,.. Jumba la 1Billion lakumbwa na Bomoabomoa, rushwa ya sh. 30,000/ yampotezea kazi mfanyakazi Takukuru, 40 ya Wabunge waliofukuzwa CUF Leo,.. Wapinzani waituhumu Serikali,..
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment