Magazetini Leo 04/08/2017: JPM 'awakoga' Wanatanga... wampokea kwa 'Magufuli Baki'.. awapa eka 14,000 za Wanajeshi,.. Kinana akiri 'madudu utawala wa Mkapa..'.. Arobaini ya Wabunge wa CUF leo,.. #share.. na Mbunge wa Chadema atoka rumande..

TPDC yaja na Teknolojia ya 'mbadala wa mkaa',.. Wawili waenda Jela miaka 120,.. JPM awafunda wakulima 'mbinu mpya' ya kukwepa 'tozo',.. Uhamiaji wamsafisha Karia wa TFF,.. na Wanyarwanda waishio Tanzania wajitokeza Ubalozini kupiga kura..


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search