Mwili wa mwandishi Mayage waagwa...soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

WAANDISHI wa habari, wadau wa habari, ndugu, jamaa na marafiki wamejitokeza kuuaga mbili wa mwandishi wa habari, Mayage S. Mayage nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.
Mchungaji akiongoza misa ya kuombea mwili wa marehemu Mayage S. Mayage  nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanafamilia wa marehemu, ndugu na jamaa wakifuatilia ibada ya kuagwa kwa Mayage 






Marehemu Mayage alifariki Dunia Jumatatu katika Hospitali ya Misheni ya Mbweni alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB).






About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search