WAZIRI wa maji na umwagiliaji, mhandisi Isack Kamwelwe leo ametengua uteuzi wa mkurugenzi mtendaji wa maji safi na usafi wa mazingira Musoma kufuatia ziada ya waziri mkuu Kassim Majaliwa kubaini mapungufu ya kiutendaji katika mamlaka hiyo
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment