CCM yashinda ubunge Kinondoni....soma habari kamili na matukio360....#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam Maulid Mtulia ametangazwa kuwa mshindi.




Ametangazwa kwa kupata kura 30247 akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Salum Mwalimu aliyepata kura 12353.


Waliopiga kura ni 45454, kura zilizoharibika 587 na halali ni 44996

Uchaguzi wa marudio wa jimbo hilo ulifanyika jana sambamba na jimbo la Siha na kata nane. CCM imeshinda majimbo yote mawili.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search