Chadema yapinga matokeo Kinondoni, Siha...Soma habari kamili na matukio360...#share
Na mwandishi wetu, Dar es salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakiyatambui matokeo ya uchaguzi mdogo ya ubunge Kinondoni na Siha ikidai yamepatikana kinyume na katiba ya nchi, sheria, kanuni na maadili ya uchaguzi.
Wafuasi na wanachama wa Chadema na aliyevaa nguo za kaki ni aliyekuwa mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Salum Mwalimu.
No comments:
Post a Comment