Mkapa ateuliwa mwenyekiti wa heshima...soma habari kamili na Matukio360...#share

RAIS wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa Bosi ya South Centre.

South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.

Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa  Geneva, Switzerland.

Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini.

Hii hapa barua ya uteuzi aliyoandikiwa Rais Benjamin Mkapa.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search